Psalms 48:2-5


2 aNi mzuri katika kuinuka kwake juu sana,
furaha ya dunia yote.
Kama vilele vya juu sana vya Safoni
Safoni inaweza ikawa na maana ya mlima mtakatifu au upande wa kaskazini.
ni Mlima Sayuni,
mji wa Mfalme Mkuu.

3 cMungu yuko katika ngome zake;
amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake.


4 dWakati wafalme walipounganisha nguvu,
waliposonga mbele pamoja,

5 eDan walimwona nao wakashangaa,
wakakimbia kwa hofu.
Copyright information for SwhKC